Katika kuhakikisha kuwa chama kinaendelea kujiimarisha katika kila sekta, Wajumbe wa bodi, kamati ya usimamizi na Menejimenti ya Chama wamepata fursa ya kufanya ziara ya mafunzo jijini Nairobi, lengo likiwa ni kuongeza weledi katika namna bora ya kuwainua kiuchumi watumishi wa Jeshi la Polisi pamoja na familia zao. Akiongea Jijini Nairobi wakati wa mafunzo hayo Continue Reading
Jumanne ya tarehe 06/08/2024 URA SACCOS imepata bahati ya kutembelewa na Viongozi wa MSONKHO SACCOS (Mamlaka ya mapato) kutoka nchini MALAWI, Wamekuja kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya uendeshaji wa Vyama vya Ushirika wa kifedha.Katika mazungumzo na Menegimenti/Watendaji wa URA SACCOS walisema SACCO yao bado ni changa kwani ilianzishwa mwezi Disemba Mwaka 2023, Continue Reading
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchi, IGP. Camillus Wambura amepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 235.5 kutoka Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo Usalama wa Raia Saccos (URA SACCOS Ltd) leo Aprili 20,2024 katika Hospitali ya Rufaa ya Jeshi la Polisi Iliyopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Msaada Continue Reading
Mkutano Mkuu wa 15 wa URA SACCOS umetamatika tarehe 20/10/2023 mkoani Morogoro ukiongozwa na kauli mbiu isemayo ”Hatimaye Tumefika, Huduma za URA Saccos Ltd Kiganjani”. Mgeni rasmi kwenye Mkutano huo alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini afande IGP Camillus Wambura ambaye alisema kuwa “Ambao bado hawajajiunga katika Chama hiki wajiunge ili wafaidike na huduma Continue Reading
Kwa malengo ya kulinda na kuongeza ukwasi wa chama Mkutano Mkuu umeazimia yafuatayo: –