Chama cha Ushirika wa akiba na mikopo cha Usalama wa Raia (URA SACCOS) Jumamosi 18/03/2023 kimekabidhi vifaa vya kufundishia katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam (DPA). Vifaa hivyo ni maalumu kwa kukuza sauti na kuboresha usikivu katika madarasa makubwa na mihadhara katika maeneo ya wazi (PA system). Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba Continue Reading
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ramadhani Kailima akizungumza wakati akifungua mkutano mkuu wa 12 wa chama cha URA SACCOS uliofanyika jiji Tanga na kudhuhuriwa na viongozi wa matawi wa chama cha URA SACCOS kutoka nchi nzima Mwenyekiti wa Bodi ya Ura Sacoss CP–BENEDICT M. WAKULYAMBA akizungumza wakati wa mkutano Continue Reading
Watendaji wa Chama cha Ushirika wa kuweka fedha na kukopa wa Usalama wa Raia SACCOS (URA SACCOS) wanaendelea kujengewa uwezo wa kiutendaji katika kikao kazi cha siku tatu kinachofanyika mkoani Tanga
Mkuu wa kitengo cha rasilimaliwatu Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Anthony Rutashuburugukwa, akikata utepe kuashiria kupokea vifaa vya kitabibu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170 kutoka Ushirika wa Kuweka na Kukopa Fedha wa Usalama wa Raia (URA SACCOS), kulia kwake ni mwakilishi wa bodi ya URA SACCOS, Stanford Busumbiro na Continue Reading