Close

systemadmin2

MAFUNZO KWA WATENDAJI NA WAWAKILISHI

Ufunguzi wa Mafunzo ya Wawakilishi na Watendaji wa URA SACCOS LTD yaliyofunguliwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi  wa Polisi Ulrich Matei katika ukumbi wa mikutano wa Hotel ya Mbeya Highlands tarehe 27/10/2021. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei akizungumza na Wawakilishi na Watendaji Continue Reading

MAAZIMIO YA MKUTANO MKUU WA KUMI NA MBILI WA URA SACCOS ULIOFANYIKA TAREHE 12-12-2020 MKOANI TANGA

Kwa kuwa imeonesha, haja ya kuongeza mtaji kupitia Akiba, Amana, na ununuzi wa Hisa, Mkutano Mkuu unaazimia elimu iendelee kutolewa kwa wanachama wote Kwa kuwa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni muhimu katika upashanaji wa Habari, Mkutano Mkuu unaazimia mitandao ya Kijamii ya chama ikiwepo Tovuti/Website, Instagram, Youtube na Facebook iliyokwisha anzishwa ianze kutumika live Continue Reading